Kicheko Ni Afya, Njoo Uondoe Stress Hapa Muhimu Kwa Afya Yako

18160403_299606693808691_1134060718367178752_n.jpg
 
Zuberi alimpa ujauzito mwanafunzi, akashtakiwa.
Kumbe Zuberi ana bibi yake mtaalamu wa yale mambo yao ya Sumbawanga, akampachika Zuberi jinsia ya kike. Alipofika mahakamani kuhojiwa Zuberi akasema sijampa ujauzito kwa sababu mimi pia nina jinsia ya kike.
Kwa kuthibitisha Zuberi wakaenda kumkagua basi akashinda kesi, kufika nyumbani Zuberi akawakuta watu wamejaa wanalia, akauliza kulikoni?
Akaambiwa bibi yako amefariki.

*Mungu hapendagi ujinga*
Kwa sasa Zuberi anaitwa zubeda
 
Kama unadhani UMEMALIZA SIKU VIBAYA KWA KERO NA KARAHA,WALA HAUPO PEKE YAKO, HEBU MFIKIRIE AU CHUKUA NAFASI YA HUYU ALIYENUNUA HILI TIKITI MAJI ATAKUA KWENYE HALI GANI?HASIRA,HUZUNI,FURAHA AU UCHUNGU
IMG_20170426_185434.jpg
?
 
Back
Top Bottom