hoffman JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 310 Reaction score 484 Mar 16, 2013 #21 Pole sana na story kwa heshima ya mama yangu aliyefariki mwaka jana nisingependa kuskia hadithi za mapenzi! Luv u mama forever!
Pole sana na story kwa heshima ya mama yangu aliyefariki mwaka jana nisingependa kuskia hadithi za mapenzi! Luv u mama forever!
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Mar 16, 2013 #22 Pole sana mkuu mapenz ya mungu ayana makos nami n mhanga wa kupoteza mama ningefurahi kama likuachia merry maanake ni mwanae opia ungeandika ur son rick n daughter merry
Pole sana mkuu mapenz ya mungu ayana makos nami n mhanga wa kupoteza mama ningefurahi kama likuachia merry maanake ni mwanae opia ungeandika ur son rick n daughter merry