ndendi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 625
- 186
Kuna jamaa watatu walikamatwa kwenye shamba la mzungu,akawaambia ili niwasamehe,kila mmoja wenu aingie porini na aniletee tunda ambalo sijawahi kuliona,jamaa wakaingia msituni,wa kwanza alimletea pera,mzungu,akamuambia pera nalijua,akamvua nguo akamuinamisha na kuliingiza lile pera matakoni mwa jamaa wa kwanza,jamaa alilia sana,jamaa wa pili alikuja na chenza,nae alifanyiwa hivyo,cha ajabu yeye alicheka sana,mwenzake alimuuliza unacheka nini?jamaa alijibu mwenzetu anakuja na dafu.