kichekesho cha leo hii!

kichekesho cha leo hii!

Joined
May 28, 2013
Posts
91
Reaction score
17
KICHEKESHO CHA LEO HII.
==============================

Bili ilivyomchanganya Masawe; Masawe
alienda na rafiki zake Bar kunywa, baada ya
kumaliza kunywa bili ikaletwa kama
ifuatavyo;

1). Manka = sh.35,000.

2). Marieta = sh.20,000.

3). Kekuu = sh.30,000.

4). kitime = sh.15,000.

5). Kinabo = sh.10,000.

TOTAL = SH.110,000.

Masawe akaicheki bili akasema; wote
nitawalipia, lakini huyo TOTAL ''Yesuu'' simlipii
kabisa. Kwansa anamiliki sheli kibao sa
mafuta hapa Bongo....shensi taaip! na
amekunywa nyingi kuliko wote, alipe
mwenyewe.KICHEKESHO CHA LEO HII.
==============================

Bili ilivyomchanganya Masawe; Masawe
alienda na rafiki zake Bar kunywa, baada ya
kumaliza kunywa bili ikaletwa kama
ifuatavyo;

1). Manka = sh.35,000.

2). Marieta = sh.20,000.

3). Kekuu = sh.30,000.

4). kitime = sh.15,000.

5). Kinabo = sh.10,000.

TOTAL = SH.110,000.

Masawe akaicheki bili akasema; wote
nitawalipia, lakini huyo TOTAL ''Yesuu'' simlipii
kabisa. Kwansa anamiliki sheli kibao sa
mafuta hapa Bongo....shensi taaip! na
amekunywa nyingi kuliko wote, alipe
mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom