Kichefuchefu cha maabara za rais hiki hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,485
Reaction score
867,274
watoto wa shule za msingi wanatakiwa kutoa Tsh 2000 na sekondari 10000, barua hiyo inajieleza wazi
 
Bado michango ya kila wiki ya tuition na mitihani ambapo mtoto asipotoa bakora, kuna michango ya ulinzi na madawati nk nk
 
Halafu bungeni wanasema shale ya msingi I hadi secondary ni bure. Wajawazito hawatatozwa chochote na wazee baada ya niaka stini tiba ya bure ..
 
Halafu bungeni wanasema shale ya msingi I hadi secondary ni bure. Wajawazito hawatatozwa chochote na wazee baada ya niaka stini tiba ya bure ..

Kunena ni rahisi kuliko kutenda
 
Huku mtaani watendaji wanapita kama ombaomba kisa kutekeleza amri ya rais. Hivi rais naweza kutoa amri bila kuwaeleza chanzo cha fedha za kujengea hizo maabara? Sasa mbona wanatusumbua kama walikuwa hawana fedha si wangemjibu kuwa hatuna fedha? Mi nilikataa kwa kweli!
 
Masikini vitoto vyetu sasa hivi vitaanza kukaa posta ya zamani na makaratasi ya mchango kama ilivyokuwa ktk school bus laah ni shiiida
 
Sasa mnataka jk ndo atoe hela toka mfukoni mwake.
kwani 2000 ama 10000 ukitoa mara moja katika miaka 50 utaadhirika nini?,wakati huo wanalalamika jioni wanajazana kona bar na kunywa maelfu.
vipi ungeishi kama kenya ama america ambako hadi biashara ndogo kama toroli la kuuza matunda mpaka uwe na leseni na kibali cha food and drug authority.
 
Kwangu tatizo sio mchago wa 10,000, shida inakuja hiyo michango itaboresha sekta ya elimu? au ni miradi mingine kwa ajili ya wakurugenzi kutumia kwa ajili ya kisiasa?

Michango mingi inatolewa mfano BRN Speed kila mtoto anatakiwa atoe sh 500 kila siku kwa ajili ya mitihani na 1000 kila jumamosi haina faida yoyote kwani mtoto kwenye pepa amepata ila ukimwambia alirudie swali hawezi!
Na wakilwa kwenye majukwaa wanasema elimu ni bure,, hili jambo ni la kisiasa zaidi kuonyesha mmejenga maabara?
Sasa niwaulize maabara ni jengo au ni vifaa??
Wanunue vifaa kwanza sio kutujengea majengo ambayo hayatakuwa na faida yoyote kwani watasema vifaa hakuna
 

Na hizi maabara zina walimu ambao ni wajuzi wa kuzitumia?
 
Yaani hawa viongozi huwa hawalili usingizii ni kazi yao ni kuchora mchoro tuu wa kuwakamua pesa tu mara hiki mara kile tobaaaa na pato lenyewe la kuwokota chupa za uhai hivi tutafika
 
Halafu watu wametafuna laki 3 kwa siku kule Dodoma bila sababu ya msingi. ...
 
Hawa watoto mnaowadai wanafanya kazi wapi?. Bunge la katiba litafune mabilioni,escrow tegeta watafune,kisha muwafanye watoto wetu omba square.
 
Hawa watoto mnaowadai wanafanya kazi wapi?. Bunge la katiba litafune mabilioni,escrow tegeta watafune,kisha muwafanye watoto wetu omba square.

Baeleze hao Swat
 
Last edited by a moderator:

Hivi kodi tunazolipa zinafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…