Kichaa wa baga na kuku

Kichaa wa baga na kuku

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
attachment.php
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1398923623.817951.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1398923623.817951.jpg
    40.7 KB · Views: 943
Yaani huyu jamaa kajichora Tattoo ya Migahawa tu?!
 
Huyo atakua tangazo la mc donald au kazi yake pizza delivery lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mwili haujengwi kwa mawe wala hahitaji kujichora tatoo ukimuona tu unajua misosi inatokea wapi lol
 
mwambieni kuna Ukonga, Segerea, Kinoa Miguu na mengineyo kama Keko.
 
Kaweka na machata ya migahawa mwilini mwake! Kweli kila mtu na starehe yake
 
Kuzunguka hiyo migahawa itakuwa inamchukua mwezi mzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom