ALINE KLEYPAS
Member
- Mar 5, 2015
- 29
- 2
Wengi walivunja mbavu katika mji wa tanga baada ya kichaa mmoja kununua kiberiti iliyokuwa imechorwa kifaru.La kushangaza ni kuwa alikuwa amekataa dawa kwa muda mrefu.Alipotingisha kile kiberiti ndani yake alisikia kuna vitu vinatingishika.Hapo ndipo alitoka mbio huku yuapiga mayowe na kumwacha mwenye duka akiwa ameduwaa.Njiani alisikia mfwatuko wa pikipiki iliyokuwa mbioni ikielekea dar.Hapo ndipo aliongezea mbio asifikiwe na huyu kifaru aliyekuwa ndani ya kiberiti.