Kichaa cha ngono kilivyo

Kichaa cha ngono kilivyo

Hii thread imeniburudisha. Nimesona mwanzo hadi mwisho. Nadhani mi pia ninacho.
 
Pole kwa kusalitiwa mkuu kila wanaotumia vifanyio vyao mbele yako lazima wawe wabaya tu,, ila naamini ukipona hayo maumivu utarudi kwenye huu ukichaa
 
Du thread ndefu kama historia ya tanganyika ilivyopata independence
 
Aisee uzi wa kitambo ila ndo nimeuona leo na wengi bado tunateseka na hiki kichaa cha ngono, this shit is f serious asee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom