Kibuti cha dharau..............

Dawa ya ugonjwa gani sasa?
Unajua unaweza kushangaa kila ukipika chakula hakiwivi, kumbe mkaka wa watu anamlilia Mungu huko. Laana sio mpaka uokote makopo ati?

Na nyie mmezidi sasa.
Na dawa yenu ni kujiendeleza kibiashara ili mpenzi wangu awe pesa!!
Tuone kama hamjaniganda.
 
Msichana kajirecord watsup na kum2mia shemeji mtu na kumwambie ujumbe umfikia mlengwa men aliishiwa nguvu kwa maneno yaliyosemwa humo
 
Hahahaah!! Sipigwi kibuti hata ukiingiza fitna zako.


Mkuu hapa kuna hadithi ndefu naona,sasa kama hupigwi kibuti wewe huwa unawapa au huwapi za mbavu..??Na kwa msimamo huo unao wangapi kwa sasa..
 
Na nyie mmezidi sasa.
Na dawa yenu ni kujiendeleza kibiashara ili mpenzi wangu awe pesa!!
Tuone kama hamjaniganda.

Kujiendesha kibiashara sio kufanyiana heartbreak ngumu ivo. Unless uniambie story yako sio ya kweli...
 
Ninaye mmoja tu mwaka wa kumi sasa, kabla yake nilikuwa ni mzee wa "hit and run"



Una bahati mkuu,uko kama mimi yaani huwa siwezi kupiga kibuti ila mazingira tu yanakatisha mawasiliano na kwa utaratibu huo huniwekea mazingira mazuri ya kutembelea makoloni yangu kokote nilikopita kwa kuwa hatukuwahi kugombana....
 
Ukiona hvo anataka mtaji huyo.

Mh mtaji tena,kweli mmeamua kutufanya mapunda
wa kuwabebea mizigo yenu,yaani hata kama biashara haina uwiano kabisa
ni sawa na kununua Peremende kwa milioni moja.........
 
Kijino unasemaje mama wewe ulishawahi kupigwa kibuti..??
 
Last edited by a moderator:
Kijino unasemaje mama wewe ulishawahi kupigwa kibuti..??

ckumbuki kama nishawahi kupigwa kibuti, ila me ndio nawapiga, ila sio cha dharau, mana hao niliowapiga nikikutana nao ni salam na vicheko kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:
ckumbuki kama nishawahi kupigwa kibuti, ila me ndio nawapiga, ila sio cha dharau, mana hao niliowapiga nikikutana nao ni salam na vicheko kwenda mbele.


Hongera mama kwa kutopigwa kibuti,hapa nafikiri tu lakini kati yangu mimi na wewe nani atampiga kibuti mwenzake..?
 
dah! Hapo chacha, ila mimi na wewe hamna kupigana vibuti, au vibuti vyetu vya kimyakimya ila tunaendelea kuwasiliana tucwape faida marafiki.


Haya masaa matatu niliyokuwa nikisubiria ujumbe huu nimeyaona kama mwaka vile,na umeongea kwa msisitizo wa kiutu uzima maana watu wazima huwa hatupigani vibuti,wambea watajibebaje mwaka huu.....watajijuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…