Mpenzi Lady doctor hii picha namba 2 tuliyopiga wote disney,ukerewe mbona inazagaa zagaa katika vyombo vya habari?
Mpaka watu wajue kuwa nami nina akaunti uswisi
huyo huyo unayemjua,ujana kala na nani uzee amalizie kwangu shost......hata ungekuwa ww ungekataa
nilishamkimbiza siku nyiiiiingi kidogo avunje miguu kwa mbio za marathon alizotoka nazo.
ni mbute kabisa.
Mpenzi Lady doctor hii picha namba 2 tuliyopiga wote disney,ukerewe mbona inazagaa zagaa katika vyombo vya habari?
Mpaka watu wajue kuwa nami nina akaunti uswisi
Alivonletea za kuleta mi nkaona isiwe tabu. Nkampa kubwa kudadadeki. Alikoma kuringa.
Hivi Bayern Munich Vs Borussia Dortmund itakuwa lini vile?
Where is Kaizer when I need hommie the best?
Habari senyo kwa mpigo? Narudi kwenye mgomo, kwaherini.