Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

merengo90 sasa ulitaka uipe jina gani?? We mwenyewe umesema enzi za nn?? Si ndio utoto huo

Enzi za ujana. Hizooo, hujawah date while upo kwa relationship ingine …?
 
Last edited by a moderator:
kweli english ilikuja na meli,mi nachekaga nikiona jina lako "atoto", looks like kuna mtoto hawezi kuita "mtoto"

We acha tu hii lugha ya monsoon wind ni balaa, kama ulikuwepo ndio hivyo hivyo ujue "atoto" badala ya "mtoto"
 
"Jitu lenyewe haliko romantic, liache likafie mbele".Mambo ya loud speaker hayoo,baada ya kuona mambo hayaendi sawa nikaona nimfate shosti ake nijue nini tatizo kufika naambiwa kapata kibwana kingine hivyo sina changu ili kunithibitishia kampigia kamuweka loud demu wacha atapike shombo.Nikajipiga kibuti mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…