Kiburi na Kaburi

Inawezekana ukajiona ni binadamu! Ila wewe pia ni falacy.
 
Zile siku 30 za madola walikuwa wanazisubiria zimepita na hakuna lolote sana sana ndio hivyo kama yaliyotokea leo.
Wenyewe kwa umbulula walikuwa wanaamini kabisa zitaleta habari njema leo
 
Hahah sawa.

Wenzio walisema jiwe akifa nitapotea.

Njoo Summy Russia najenga kiwanda kikubwana kuwa mtanazania wa kwanza kuwekaza Ulaya kiwanda cha drone.

Mnadhani mimi nawaza kwa hisani ya Elfu 10 mnazoepewa nyie Chapati( Chadema)
Acha tambo wewe kiwanda assembly plant wabongo hambadiliki sifa ndio zenu hizo drones unauza Iran/ NorthKorea? Punguza sifa ongèza ubunifu siasa hazikufai
 
Acha ujinga Sheria za Russia haziruhusu mgeni kumiliki military industrial installation hata iwe ya scale ndogo kiasi gani kawadanganye wapuuzi wenzio wa ccm.
 
Muuaji wa Thadei Ole Mushi umeshachanganyikiwa hakika damu za watu sio mchezo.

Unajiandikia tu saa hizi na kufunguka uchafu wenu mnaoufanya.

Si unamuona mwenzio humu Tumainiel baada ya kumpoteza Ben Saanane hayuko sawa tena ndio kama wewe hapo unaandika vitu visivyoeleweka.

Kwamba unapima uhai kwa kumkumbuka mtu, usikute ndio wewe uliyemtisha Melo kwamba mtampoteza na watu watalia mwezi mmoja watasahau.

Maana yake mmejipa funguo za uhai wa watu , mnachagua nani aishi nani afe.

Siku yenu itafika hizo kazi chafu hazitowapeleka mahali popote.
 
M.A.P Thedei Ole Mushi - TANURU LA FIKRA.
 
Acha ujinga Sheria za Russia haziruhusu mgeni kumiliki military industrial installation hata iwe ya scale ndogo kiasi gani kawadanganye wapuuzi wenzio wa ccm.
pole sana.

Mimi sio mtanzania tena dogo kwa uraia dogo.

Ujuaji acha.
 
Acha tambo wewe kiwanda assembly plant wabongo hambadiliki sifa ndio zenu hizo drones unauza Iran/ NorthKorea? Punguza sifa ongèza ubunifu siasa hazikufai
Shida Yenu Viazi mnadhani mnafanana na watu akili.

Tupa Passort yako nikualike Russia uje ujionee dogo.
 
haha hawa wacheza kibao kata akina Juma lokole?

Nani amamkumbuka tena Mvungi, jasusi alieasi Mtikila?

Haha amuijui dunia.

Anakumbukwa Yesu na Mtume tu boss
Huwa nasoma comment zako... Credit kwako unajua mambo mengi kuhusu hili taifa.. na info zako Huwa ni za kweli.

NB. Sikiogopii kifo na ukini interrogate nipe konyagiiii saizi ya kati niingize cage ya FISI , MAMBA, SIMBA nitasalimiana nao.

Kifo sikiogopii na sote hatuna miaka 60 mbele kwa huu umri wetu tulio nao Sasa
Msalimie mzee WASSIRA.
 
Hahah

Nitakutumia Vodka , Amarula.

Vitoko machozi ya simba vitaua figo haha

GM- Summy Russia.
 
uzuri hamna akili.
Unadhani Ndela alipewa nchi kiboya tu.

Jidanganye.

Shida mnajifanya mnajua kumbe boga tu.

Endeleeni na umandela fakeni mtajua mbele

Pana makubaliano ambayo wengi hawayajui na wameendelea kumtukuza mzee bila kujua nini kilitokea.

Tukirudi kwenye hoja,
Umekua ukishangilia sana kuhusu kifo cha TL sasa hata kama isipokua kizembe au kwa kiburi, kuna mtu ataishi milele? Wote mimi na wewe tutaingia kaburini, ni susla la muda tu, huyu yeye ameamua kwenda kaburini kwa namba hii na ameona inamfaa.

Lakini meisho wa siku, hatma yetu iko mikononi mwa Muumba wetu. Kama ambavyo walijua wamemaliza kazi awali, hauwezijua nini kitajiri safari hii. Muda haujawahi kukosea.
 
Kuna Mtu kakuuliza ulivyokwenda Rufiji Leo?
 
haha hawa wacheza kibao kata akina Juma lokole?

Nani amamkumbuka tena Mvungi, jasusi alieasi Mtikila?

Haha amuijui dunia.

Anakumbukwa Yesu na Mtume tu boss

Eti niache kula zangu kitimoto nimkumbuke fala kama lisu au mwehu kama pole pole??

After all kufa kila mtu atakufa,yeye lisu kama ameona jela kuna mfaa aonewe huruma kwa lipi kichaa yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…