Kibunango na bendera ya CCM!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
KIBUNANGO na bendera ya CCM, haya mwenzetu tueleze kulikoni.....au ndio wale wale?
 
Sioni tatizo mtu kuamua kuwa kada wa CCM ila matendo yake binafsi ndo yatamueleza yeye ni nani kwenye jamii ya watanzania.
 
Hiyo bendera ina tatizo gani kwako? Na una maana gani ya kusema ndio wale wale?

Kibs,
Tumsameheni inaonekana bado ni mgeni wa jukwaa na amepotoshwa na trend ya posts na threads za jukwaa kuona zinashabikia upinzani tu, kaona ajabu kuwa kumbe jukwaa lina memba wa vyama tofauti...huenda ni kosa lake la kutojifunza mwenendo wa jukwaa au ni makosa yetu kulifanya jukwaa kuwa ni sehemu ya kupinga tuuuuuuuuuu!!!
 
Fanyeni yote ila siku ya mwisho lazima mhukumiwe!! Hakuna anaeyeshabikia ccm bila mzizi wa kifisadi!!
 
Back
Top Bottom