Kibonzo: Mambo ya Uswazi

Tuna jirani yetu hapa mtaani ana hii tabia yaani lazima mtaamka tu! Mpaka watoto wachanga wanaogopa sana inapofika saa jamaa anapiga mswaki!
 
tuna jirani yetu hapa mtaani ana hii tabia yaani lazima mtaamka tu! Mpaka watoto wachanga wanaogopa sana inapofika saa jamaa anapiga mswaki!
anafanyeje jamaa....?
 
hahahhahahahaah

aiseeee kuishi na watu yahitaji uvumilivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…