ni kweli kabisaa tofauti ni kubwa mno, wajamaa wanaandamana na masufuria kichwani kuomba unga ikulu, badala wakalime? huu si ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman?
we cheki kama jana,
waandamanaji nonsense gen z wapiga kelele na kuharibu vitu mbalimbali, si wakakutana na waandamanaji waporaji town, na wote wana haki na uhuru wa kuandamana kwa mujibu wa katiba yao.
Aise walifurahishana balaa. na moja wako aka r.i.p kabisa kama sehemu ya athari au matokeo ya maandamano yale ya kishamba.