Maendeleo bila kufuata sheria hayatakuja ndugu yangu. Kweli wanatia huruma ila pia sio haki wao kukaa maeneo hayo nakuhitaji pesa ya serikali kila mwaka kama masaada pale wqnapopata majanga ya mafuriko. Tuwe realistic na kuacha kuibeza serikali jmn. Mpaka lini serikali ishindwe kuallocate hy pesa kwa mambo muhimu kwa sababu tu watu hawataki kuhama maeneo hatarishi. Give the guy (Magufuli) some support ili kazi iende vzr. Akishindwa mlaumu sio kulaumu kabla hajafika mbali. Mbona matajiri wamebomolewa? Watanzania tufike mahali tujue kufuata sheria. Kama masikini ukiambiwa usijenge hapa basi usijenge maana ni hasara mara mbili ukibomolewa. Kama ni tajiri eneo haliruhusu basi usitoe hongo ili uruhusiwe coz na ww yatakukuta kwa sababu masterplan haibadiliki, unampa hongo mtu mmoja au wawili but they wont be in office forever kukutetea. #Hapa kazi tu#masikini wanaobomolewa makazini yao wao wapi hapo