Kibonde wengi wetu tunamfahamu kuwa ni mtangazaji was clouds na mshereheshaji(MC). Huyu jamaa nafikiri anatumia vibaya nafasi aliyonayo ya utangazaji kupinga kwa waziwazi juhudi za rahisi JPM kuleta mabadiliko ya kweli kwa watanzania wote.alisikika akisema kuwa watanzania wehu kwa kushabikia utumbuaji majipu.
Nikikumbuka kipindi cha utawala wa JK sikuwahi kumsikia Kibonde akiponda serikali. Nakumbuka kuna siku alitumia nafasi yake kwenye kipindi cha jahazi kuwaponda wanachuo cha UDSM kipindi cha mgomo wakidai haki zao. Baadhi ya wanachuo nikiwepo na Mimi tulimfata kwake anakokaa ili tumuonye kwa anachofanya kinatuvunja nguvu ya kudai haki zetu.
Sijui ni kwanini alikuwa anaisifia sana serikali ya JK kinyume na wananchi wengi wa maisha ya kawaida wakivokuwa wanaichukia. Labda ndo mambo ya kumtumikia kafiri upate mradi wako, mi sijui. Lakini huyu jamaa namshauri asijione kama ndo anajua sana na kwa taarifa yake nampa, TISS wameshaanza kumpeleleza wajue kama anafanya hivo kwa maslahi ya watu.
Huwezi kuponda waziwazi serikali na kuwatukana watanzania halafu ukabaki salama. JPM piga kazi jembe langu, mi nakukubari kinoma. Hawa watu walijiona kama siyo binadamu wa kawaida kisa wanatuibia.