Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde, amefika mkoani Tabora kunadi sera za chama hicho, akisema kuwa endapo watapewa ridhaa ya kuongoza nchi, wataimarisha sekta mbalimbali ikiwemo afya na miundombinu ya usafiri wa anga ili kurahisisha shughuli za kiuchumi kwa Watanzania
“Serikali yangu itaenda kuboresha viwanja vya ndege nchi nzima na kuhakikisha Bombardier zinatua kila mkoa. Kwa kuanzia nitaagiza ndege sabini aina ya Bombardier,” ameongeza Kibonde
“Serikali yangu itaenda kuboresha viwanja vya ndege nchi nzima na kuhakikisha Bombardier zinatua kila mkoa. Kwa kuanzia nitaagiza ndege sabini aina ya Bombardier,” ameongeza Kibonde