Mgombea Urais kupitia Chama cha MAKINI, Coster Jimmy Kibonde, ameahidi kutoa ekari tano kwa kila kijana wa Kitanzania endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma wakiwemo walimu
Soma pia
Soma pia
- GE2025 - Mgombea wa urais wa chama Makini aahidi ekari 5 kwa kila kijana endapo atashida
- GE2025 - Coaster Jimmy: Kauli yangu ya kumuajiri Rais Samia si utani, atashughulikia Diplomasia