Kibonde mkristu asiyeamini ukristu

Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu kwa shehe yahaya ?

Hamna tofauti kati ya shehe Yahya na babu wa Loliondo wote wanatudanganya kwa kutumia nafsi zetu dhaifu kurubuniwa....na wote wanatumia miti shamba.
 
Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu kwa shehe yahaya ?

Ndugu yangu kuna kitu unatakiwa ukielewe hapa, humu kuna mtu alishawahi kusema kuwa kuna watu unatakiwa uwasikilize kwa makini, wakikwambia nenda kulia basi wewe nenda kushoto utawakuta huko.
 
Ni kumpa kichwa kujadili kichwa maji. Jina lenyewe limekaa kikilazakilaza. Home of great thinkers kumjadili kibonde na imani yake ni ku-abuse our thinking. Put it to a stop.
 
Me namuunga mkono kibonde 100% coz ubishi uko wapi km yupo alopona ukimwi aje na ushahidi wa cheti kinachoonesha ameathirika alafu atuoneshe vyeti anavyo2mia dawa za kuongeza cell kisha aoneshe cheti cha ss kinachosema amepona unafikiri nani atabisha alafu kuoteshwa na mungu ni uwongo coz mungu hawezi kutoa masharti ya ajabu eti ukiondoka hapo dawa haifanyi kazi huyu mchungaji na shehe yahya wote washirikina 2
 
Back
Top Bottom