K Kipimbwe JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 370 Reaction score 71 Jun 23, 2012 #61 Mtoa mada umenichanganya kwa majina mawili tofauti Ngeleja na Maige nadhani ulimaanisha Ngeleja.Ngeleja=Hongo=Kibonde
Mtoa mada umenichanganya kwa majina mawili tofauti Ngeleja na Maige nadhani ulimaanisha Ngeleja.Ngeleja=Hongo=Kibonde
M Mtaftaji JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 207 Reaction score 43 Jun 24, 2012 #62 Hii kec nene,jamani kumbukeni yy ni binadam anamapungufufu km tulanayo cc mhm 2kikerana 2sameheane,safari hatujafika kuwiana radhi ni muhim kbl hatujafika kwa sir GOD.
Hii kec nene,jamani kumbukeni yy ni binadam anamapungufufu km tulanayo cc mhm 2kikerana 2sameheane,safari hatujafika kuwiana radhi ni muhim kbl hatujafika kwa sir GOD.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,550 Jun 24, 2012 #63 Man KKK said: samahani kwa watu wafupi ila kiukweli watu wafupi wanamatatizo sana kwaio sina haja ya kumshangaa kibonde Click to expand... Nahofia kuwa utakuwa umeanzisha mada nyingine hapo.tusubiri
Man KKK said: samahani kwa watu wafupi ila kiukweli watu wafupi wanamatatizo sana kwaio sina haja ya kumshangaa kibonde Click to expand... Nahofia kuwa utakuwa umeanzisha mada nyingine hapo.tusubiri
Puppy JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 2,995 Reaction score 2,540 Jun 24, 2012 #64 Kibonde dhaifu
Ngofilo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 221 Reaction score 66 Jun 24, 2012 #65 Huyo jamaa ni kinega mimi sisikilizi kabisa hiyo radio ya vinega na hiyo ndiyo sera ya clouds.