Kibonde ni tatizo, na kinachomsumbua zaidi kibonde ni unafiki na anafikiri atatoka kwa kujipendekeza. Ni dhairi huyu jamaa ana matatizo tena makubwa nadhani anaitaji msaada maana anajifanya anajua lakini hajui watu wanaomsikiliza ni watu wa aina zote na akuanzia hapa toka wanafunzi wa chuo kikuu mlimani walipokuwa wanadai posho za masoma akawatukana, madaktari walipokuwa wanadai haki zao kawatukana na sasa anawatukana wabunge wa upinzani ukisikiliza jahazi toka juzi amekuwa kibaraka wa kutetea CCM. Ni dhahiri clouds wasipojirekebisha watachokwa na wanachi ni aibu kwa kibonde amabye amekuwa akisakamwa na makundi yote niliyoyataja hapo juu namna anavyoingilia haki yao ya kudai staili zao, sijui kibonde ni nani CCM maana inamuuma sana anaposikia watu wanipinga. Mnafiki kibonde badilika