KIBOKO YA WAPINZANI.................................

Nakupenda wewe uliyeshika
Sijui nini hiyo
Ila umevaa miwani
 
Shikamoo dada uliye Tulia
 
Bado anasaka nwongozo wa kuvuliwa barghashia
 
dr. tulia kiboko kabisa, huwezi amini kama ukawa imedhibitiwa na mdada wakati waliishindwa vidume
 
Anachokijenga atakiona siku za usoni huyu.
 
Hana ubavu huyu wa kuidhibiti UKAWA, ni polisiccm ndiyo wako busy kulinda udikteta wa dikteta nchini.

dr. tulia kiboko kabisa, huwezi amini kama ukawa imedhibitiwa na mdada wakati waliishindwa vidume
 
Upuuzi mtupu.Africa kumejaa viongozi wasio na maono Bali wamejaa wapenda madaraka na sifa za kipuuzi.
 
Maneno ya Sumaye yanatimia haraka kuliko hata ilivyotarajiwa.... Naogopa huenda yakaenda mbali zaidi na zaidi na kisha... Mungu atuhurumie!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…