Kiboko cha waisrael?

Israel is a blessed country, na wanaoilaani Israel God Himself will deal with them. Mnaohoji utatu wa Mungu just go and read the Bible it has all the answers kama hutaki hamna tatizo you can continue believing what you believe in peace.
 
Duh....Yesu alikuwa Muislamu?? basi na kina Ariel Sharon,Benyamin Netanyahu ni Waislamu wenzenu jamani......,maana nao wanasujudu kwenye dini yao ya kiyahudi(Judaism)!!

UKWELI NI KUWA.....Yesu alizaliwa Myahudi wa kabila la Yuda,na kama Wayahudi wa leo,walikuwa wanaabudu katika dini ya Kiyahudi kama Ibrahimu,Isaka,Yakobo baba zao na baba zetu Wakristo kwa ahadi,na Ndiyo maana YESU alisema WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

Refer John 4:22 You worship what you do not know; we worship what we know, for salvation is from the Jews.

John 4:31 Meanwhile the disciples were urging him, saying, “Rabbi, eat.” 32 But he said to them, “I have food to eat that you do not know about.

Rabbi is the jewish spiritual teacher, the same as Chief Ashkenazi Rabbi of Israel today, Yona Metzger,

Jamani msikariri tu kwenye mihadhara ya watu wasiojua kusoma na wasiojua dunia inavyokwenda,hapa tupo JF,...msilete story za kwenye kahawa.
 
Nilisema mimi, wanakulana wenyewe kwa wenyewe.
 
Yani wewe ndio mtupuuu...! Ibrahim myahudi!? Alafu wenzio badala ya kukushika mkono usipotee wanazidi kukuangamiza kwa kukuunga mkono! Dah wagala kibogo!

Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.
Matth 21:42-44
 
Nilisema mimi, wanakulana wenyewe kwa wenyewe.

Wanakula nini? akina nani? acha kuendeleza chuki za waarabu dhidi ya mayahudi usizojua chanzo chake..Wewe unajifanya mkereketwa kumbe mwenzako Ahmedinajad anawachora tu anachekelea jino pembe mlivyo mabwege.

Kalagabaho
 
Naamini X-Pastor unajua tofauti ya MYAHUDI na DINI YA KIYAHUDI......

MYAHUDI ni mtu wa uzao wa Yakobo(Israel) mjukuu wa Ibrahimu bila kujali yupo dini gani,kuna wayahudi walio kwenye dini ya kiyahudi,walio waislam na walio wakristo!!

Ukristo ulianza baada ya Yesu kupaa mbinguni,na Uislam ulikuja takribani miaka 500 baadae,kabla ya hapo hawa wote tunao waita Mitume na Manabii wote waliabudu kwa misingi ya dini hii ya Ibrahimu na uzao wake kupitia Yakobo(dini ya kiyahudi).

Quran/Koran: Sura 5:21

[5:20] Recall that Moses said to his people (the Jews), "O my people, remember GOD's blessings upon you: He appointed prophets from among you, made you kings, and granted you what He never granted any other people.
[5:21] "O my people, enter the holy land (Israel) that GOD has decreed for you."
 
Naamini X-Pastor unajua tofauti ya MYAHUDI na DINI YA KIYAHUDI......

MYAHUDI ni mtu wa uzao wa Yakobo(Israel) mjukuu wa Ibrahimu bila kujali yupo dini gani,kuna wayahudi walio kwenye dini ya kiyahudi,walio waislam na walio wakristo!!

Ukristo ulianza baada ya Yesu kupaa mbinguni,na Uislam ulikuja takribani miaka 500 baadae,kabla ya hapo hawa wote tunao waita Mitume na Manabii wote waliabudu kwa misingi ya dini hii ya Ibrahimu na uzao wake kupitia Yakobo(dini ya kiyahudi).

Quran/Koran: Sura 5:21

[5:20] Recall that Moses said to his people (the Jews), “O my people, remember GOD’s blessings upon you: He appointed prophets from among you, made you kings, and granted you what He never granted any other people.
[5:21] “O my people, enter the holy land (Israel) that GOD has decreed for you.”
 
Pure mashudu + samadi,

Nimekuuliza lete ushahidi ya kuwa Koran ni kitabu cha Mungu..sasa ona ulichokileta. Usianze kuleta conclusion kabla ya findings mkuu.

Nilijua tu hii hoja itakushinda.

Pole zako.

Nimeshakuelewa, naona wewe ni mbishana sio mtu anayetaka kujifunza mengi na kukubali yaliyo na kweli, nimekutolea mifano midogo tu inayoendana na ulimwengu, unapindisha uelewa, na nilijua ningekutolea kwenye qur-an ungesema aahhh hiyo si ndo ameandika muhammad(s.a.w),sasa hata hiyo inayoendana na mazingira yako hauielewi?,kweli zama za wenye macho hawaoni,masikio hawasikii, na wenye bongo hawatafakari ndo kimeanza. labda nikuelimishe kitu kimoja iruhusu akili yako iwe inapokea elimu ambazo ni sahihi kuliko kugandana na mambo hambayo hata ukiulizwa kidogo hadi utake roho mtakatifu akushukie ndo utoe jibu,pia usiwe katika wale ambao hawajui lakini wanaona wanafahamu,
 

Unajua Iran ilikuwa na mayahudi wengi kuliko nchi zingine hapo Middle East ukitoa Israel yenyewe, baada ya mapinduzi ya miaka ya sabini waliondoka.. wengi wao wakarudi israel, wengine wakaenda US na sehemu mbali mbali duniani. Kuna yule mbunge wa kiyahudi kwenye bunge la Iran naona kazi yake ni kuwaponda wayahudi tu.
 
Wanakula nini? akina nani? acha kuendeleza chuki za waarabu dhidi ya mayahudi usizojua chanzo chake..Wewe unajifanya mkereketwa kumbe mwenzako Ahmedinajad anawachora tu anachekelea jino pembe mlivyo mabwege.

Kalagabaho
Aliye kwambia Wiran ni Waarabu ni nani!
 

Kwa hiyo...!?
 
Swali langu kwako ni hili:

Ibrahim alikuwa Myahudi?
 
max nimecheka sana huku mate yananidondoka....!
Hiyo picha ukiwawekea watakimbia kompyuta zao haoooo!


Unajuwa, wakati wa mfungo, mabucha ya kiti moto nyama huwa zinalala. We subiri wakifungua, ... lol
 
Unajuwa, wakati wa mfungo, mabucha ya kiti moto nyama huwa zinalala. We subiri wakifungua, ... lol

Max wewe ni kiboko kwani hukopeshi ukweli siku zote utabakia ukweli na utatuweka huru.Tusichoke kuwaelimisha ndugu zetu hawa ambao kweli bado haijawatembelea.
 
Max wewe ni kiboko kwani hukopeshi ukweli siku zote utabakia ukweli na utatuweka huru.Tusichoke kuwaelimisha ndugu zetu hawa ambao kweli bado haijawatembelea.


Kama unakumbuka wakati ule wa Ali alipokuwa Rais, jamaa walifanyaga maandamano pale magomeni mapipa, na kuvunja mabucha yote yanayo uza nguruwe, cha ajabu na kusikitisha, nyama zote za nguruwe zilipotea, na jamaa wakasahau kuiba mizani. lol.

Mkuu Ali akawasweka ndugu zake keko kwa viki mbili.
 
Aliye kwambia Wiran ni Waarabu ni nani!

Na nani amekwambia kuwa nimeambiwa ya kuwa wairan ni waarabu?

Kama kuwachukia wayahudi ni uarabu basi na wewe mmatumbi ni mwarabu pia

Dini yako muflis ndio inayohubiri chuki dhidi ya wayahudi na hilo ndio hasa chanzo cha wewe kuendeleza ligi ktk thread hii.. eti mwenyewe unajiita mkereketwa..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…