adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,802
Huu kipindi kile mpenzi wa miziki ulikuwa inanipa motisha sana na ulikuwa haukauki kuusikikiza mpk watu wakawa wanasema "unaupendea nini ?" mimi nikawa najiuliza nyimbo kali kama hii watu wanakupuuza na mtu ananiuliza swali hilo wakati yeye anasikiliza 'nyegezi' ni masikitiko sana.Mnooo
Ni bonge la ubunifu mtu kujichana , maneno ya mwisho yale kuna bonge moja la funzo ila cha ajabu huu wimbo haukuwa mkubwa .