Kiben10 ahofia kuwa shamba boy

Kiben10 ahofia kuwa shamba boy

Ukitemwa na jimama ujue hutapata lingine.ushazoea kitonga sio??!!sasa uanze kujipa mazoezi ya jicho maana litaanza kuhappen soon
 
Kiben10 U acheni jamani hao wamama na kaa vizuri upate mke mwema na sio kuhangaika hangaika haina maana kesho utakuwa mtu mzima utashindwa hata kubeba tofali
 
kabla sijacoment ngoja niimbe kwanza: "kiben 10...sijazoea kufungiwa ndaaaani!!!"

okay, mkuu...wewe nenda shamba. kila kitu kina side effects.
 
Assallam_aleykum ndugu zangu,

●kwa niaba ya mwanachama #77 wa chama cha kiben10 Dar (CKD)

Anaomba Usahuri wenu kwa hili jambo ambalo naona linakuja kuhappen soon, Mimi ninaishi na (JIMAMA) WAZEE WA SLOOP
Ila naomba niwasilishe mada sasa,

LEO USIKU SIJAPATA USINGIZI KABISA, hii imekuja baada ya huyu mama kuniambia niende mkoni Mbeya nikasimamie Shamba la Mpunga na baadhi ya mazao ambayo tumeyalima huko mkoani mbeya. Sasa napata mashaka coz week mbili sasa namuona hanichangamkii, hanipi (Kipozeo) sijui kwa nini sasa kutokana na hili jambo la kutaka NIHAMIE mkoani kwa muda usiojulikana,nanaona kama ndio mwisho wa kunifanya shamba boy na njia ya kupigwa chini ili mwingine achukua Fursa hii.

Sasa naomba nishaurini niende shamba or nigome?
mumewe yupo njiani kurudi anakuepusha usifir.w.e mjini hapa ukapata aibu ya milele
 
Back
Top Bottom