Kijembe:Kibela leo hujapata kitu?
Kibela: Kijembe leo sijaambulia kitu bahari imechafuka.
Kijembe:Heheheh Kibelaaa nyavu zangu zimecheua weekend yangu itakua njema.
........(simu inaita)..........
Kibela:Aah nani, ndio mimi Kibela
Kijembe:Sasa sikia Kibela nina samaki hapa sasa vipi naweza kukuuzia?