dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,908
Katika hali ya kushangaza kibegi maarufu cha mashabiki lia lia wa Simba kimeonekana kutelekezwa vichakani,kuelekea mwisho wa msimu ambapo Simba sc wakionekena kukata tamaa kupata hata kikombe cha al kasusu wameona kibegi hicho labda ni gundu kwa timu na kuamua kukitelekeza vichakani
Timu hiyo imebakiza kombe moja tu ambalo nalo ili kulipata labda bingwa wa kihistoria asilete timu tarehe 15 ili wapate ushindi wa mezani na kuweza walau kupata chochote msimu,huku bingwa huyo wa kihistoria anaonekana nae anataka kuleta timu ili simba akose chochote kitu msimu huu