Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
nikuuzib tuu mdomoHii kesi kama haitafutwa basi ujue Ina lengo la kumdhalilisha bosi wa sukuma gang, Ndugai
Kwani wewe kada wa CCM, wakati huo wanapokelewa akina Halima Mdee, ulikuwa hujui kuwa Spika wa Bunge alikuwa Ndugai na wala hakuwa Tulia Ackson?😅Ndugai wa nini wakati kuna spika wa sasa??
Sifa za kijinga tu.
Wakili Peter Kibatala amesema atawahitaji aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Charles Mahera ili wahojiwe kuhusu wabunge 19 walioapishwa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kibatala amesema ni lazima viongozi hao wahojiwe kwa kuwa ndio waliowapitisha na kutoa kaulinza kuwalinda kwa hali youote ili wabaki bungeni.
Kati ya maswali ambayo Kibatala atapenda kuuliza ni pamoja na mbunge mmoja kuapishwa japo hakupitia mchakato wa uchaguzi.
Dkt. Mahera atatakiwa kueleza alipoipata barua ya majina wakati katibu wa chadema aliikana barua hiyo.
Pia majina ya wabunge hayakutangazwa kama utaratibu unavyohitaji.
Wabunge 19 wamefungua mashtaka ya kufukuzwa uanachama bila kufuata itaratibu
We ndio jinga kabisa. Ni nani aliyewapitisha na kuwaapisha?Ndugai wa nini wakati kuna spika wa sasa??
Sifa za kijinga tu.
Waulize chadema, waliachaje kupeleka majina ya watu wao muda wote huo hadi leo hawajatoa orodha ya wabunge ambao hawakufoji majina.Ila hivi kwanini serikali haichukui hatua kwa Hawa wahuni watakopothibitika kuwa walifoji majina Ili iwe fundisho?
Huna akili kwani Ndugai aliwapitisha kama watoto wake au kama Spika??We ndio jinga kabisa. Ni nani aliyewapitisha na kuwaapisha?
Usianzishe mchezo wa kurusha mawe kama unaishi kwenye nyumba ya viooWakili Peter Kibatala amesema atawahitaji aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Charles Mahera ili wahojiwe kuhusu wabunge 19 walioapishwa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kibatala amesema ni lazima viongozi hao wahojiwe kwa kuwa ndio waliowapitisha na kutoa kaulinza kuwalinda kwa hali youote ili wabaki bungeni.
Kati ya maswali ambayo Kibatala atapenda kuuliza ni pamoja na mbunge mmoja kuapishwa japo hakupitia mchakato wa uchaguzi.
Dkt. Mahera atatakiwa kueleza alipoipata barua ya majina wakati katibu wa chadema aliikana barua hiyo.
Pia majina ya wabunge hayakutangazwa kama utaratibu unavyohitaji.
Wabunge 19 wamefungua mashtaka ya kufukuzwa uanachama bila kufuata itaratibu
Inategemea hoja ya mawakili itasukwa vipi.....msishangilie kabla ya wakati
..huwezi kujua maamuzi ya Jaji yatakuwa nini?
..upo uwezekano wa Jaji kukataa kuwaita Ndugai na Mahera kama mashahidi ktk kesi.
..kama mtakumbuka ktk kesi ya Mh.Mbowe Jaji alikataza jina la Mh.Hussein Mwinyi kutajwa mahakamani, au kumuita kama shahidi wa upande wa washtakiwa.
Cc The Palm Beach. Erythrocyte
Inategemea hoja ya mawakili itasukwa vipi...
Ikisukwa vyema kiasi cha kumbana Jaji engo zote, atalazimika kuruhusu hilo lifanyike..
Labda kuwe na sheria inayokataza hao wasiitwe mahakamani kama ambavyo Rais Mwinyi (The sitting president) haikuwezekana aje mahakamani kama yeye...