Kibaso njoo Rorya uchukue jimbo

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
847
Wana Rorya Kibasso vipi?

Kwa uchache ni kuwa huyu bwana alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM ila Mtemvu alimletea ukabila na upwani.

Huyu bwana ni taa na nuru a wana Rorya si mubaguzi,hatoi rushwa za kukufanya uwe mjinga kama Airo, bali ni aina ya kiongozi ambaye anajenga uwezo wa watu wake ili washirikiane kujiletea maendeleo,anajua halmashauri,anaweza kututafutia wafadhili ili wawekeze Rorya,pia atatusaidia ktk kutuletea wataalam hasa wa ugani ili tuweze kulima zao la biashara.Maana hapa Rorya hatuna zao la biashara na wataalam.

Pia atatumia nafasi kuleta watalii hasa kutoka ulaya na kushirikiana na mashirika ya kimarekani ktk kutembelea Rorya maana hapa ndipo jamii ya Rais wa maerekani wajaluo wanapokaa hivyo ikitumiwa vizuri karibu watalii wote wanaokuja Serengeti na Ngorongoro watakuja Rorya.

Kibasso njoo lakini kwa tiketi ya UKAWA.
 
Naona Kibaso unajipa promo,wana rorya tunae kijana wetu ODERO ANATOSHA,kibaso aendeleze shamba lake la minazi huko kimbiji
 
Damu zito kuliko maji bwana

Tafuteni yeyote aliye tayari kujitolea toka moyoni mwake na sio kumuomba. Hata wewe usione kama hauwezi. NB; Usitafute mgombea kwa title la kabila hizo siasa peleka JUBILEE Kenya.
 
mwaka huu ni familia ya chief odemba,
kijana omwamba odemba

waturi!!waturi!!waturi!!
 
20120603_165852.jpg
 
Wana Rorya Kibasso vipi?

Kwa uchache ni kuwa huyu bwana alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM ila Mtemvu alimletea ukabila na upwani.

Huyu bwana ni taa na nuru a wana Rorya si mubaguzi,hatoi rushwa za kukufanya uwe mjinga kama Airo, bali ni aina ya kiongozi ambaye anajenga uwezo wa watu wake ili washirikiane kujiletea maendeleo,anajua halmashauri,anaweza kututafutia wafadhili ili wawekeze Rorya,pia atatusaidia ktk kutuletea wataalam hasa wa ugani ili tuweze kulima zao la biashara.Maana hapa Rorya hatuna zao la biashara na wataalam.

Pia atatumia nafasi kuleta watalii hasa kutoka ulaya na kushirikiana na mashirika ya kimarekani ktk kutembelea Rorya maana hapa ndipo jamii ya Rais wa maerekani wajaluo wanapokaa hivyo ikitumiwa vizuri karibu watalii wote wanaokuja Serengeti na Ngorongoro watakuja Rorya.

Kibasso njoo lakini kwa tiketi ya UKAWA.
Rorya Sio Wajaluo Tu Ndio Wakaazi Kuna Wasimbiti,wasweta Wakurya, Na Ni Wengi Sana, So Tunmpango Wa Kuligawa Jimbo Hili Wait
 
Tafuteni yeyote aliye tayari kujitolea toka moyoni mwake na sio kumuomba. Hata wewe usione kama hauwezi. NB; Usitafute mgombea kwa title la kabila hizo siasa peleka JUBILEE Kenya.
Sasa unamtaka Ridhwani aje?hapati hata kura moja!
 
2015 Rorya tutampa mtu anayeyajua matatizo ya wanarorya bila kuangalia kabila lake. Ila asiwe GAMBA, awe UKAWA.
 
Rorya Sio Wajaluo Tu Ndio Wakaazi Kuna Wasimbiti,wasweta Wakurya, Na Ni Wengi Sana, So Tunmpango Wa Kuligawa Jimbo Hili Wait
pumbavu...Rorya haigawanyiki,demu shit,nendeni zenu nyie wahamiaji
 
Njaa ya tumbo na akili sikuzote huwa ni Shiiiiida. yeboyebo za lakairo na 1000 za chai mtaziachaje???
 
Hakuna shida kama mtampata mtu mwadilifu coz rorya kuna fursa kibao but vijana vichwani wanawaza tu kucheza mziki.
 
Back
Top Bottom