Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 847
Wana Rorya Kibasso vipi?
Kwa uchache ni kuwa huyu bwana alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM ila Mtemvu alimletea ukabila na upwani.
Huyu bwana ni taa na nuru a wana Rorya si mubaguzi,hatoi rushwa za kukufanya uwe mjinga kama Airo, bali ni aina ya kiongozi ambaye anajenga uwezo wa watu wake ili washirikiane kujiletea maendeleo,anajua halmashauri,anaweza kututafutia wafadhili ili wawekeze Rorya,pia atatusaidia ktk kutuletea wataalam hasa wa ugani ili tuweze kulima zao la biashara.Maana hapa Rorya hatuna zao la biashara na wataalam.
Pia atatumia nafasi kuleta watalii hasa kutoka ulaya na kushirikiana na mashirika ya kimarekani ktk kutembelea Rorya maana hapa ndipo jamii ya Rais wa maerekani wajaluo wanapokaa hivyo ikitumiwa vizuri karibu watalii wote wanaokuja Serengeti na Ngorongoro watakuja Rorya.
Kibasso njoo lakini kwa tiketi ya UKAWA.