Jamani salama humu,kuna jamaa nimemaliza nae chuo,lakn mpaka sasa hajapata kazi,Kuna mtu ameongea nae kamwambia kuwa anataka laki mbili ili apate kibarua tanesco,na yeye pesa hana ..je mnamsaidiaje hapo
Mmmmh! Sisi ndo tutamsaidiaje au yeye ndo aseme anataka msaada gani?
Pesa?
Tumbembelezee aajiriwe bila rushwa?
Tuite takukuru akamatwe uyo alomuomba laki mbili?
Tukatoe taarifa uongozi wa tanesco/wizara ya nishat?
Tumtafutie ajira sehem nyinngine?
Ama nini sasa anataka