Kibarua wa kike anahitajika

Kibarua wa kike anahitajika

MOSHIFST

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
136
Reaction score
266
Natafuta mfanyakazi kwenye Kiwanda Kidogo awe binti aliyemaliza form four na anajua kujieleza vizuri kusoma na kuandika Kingereza, awe na uwezo wa kuelewa Kingereza pia akiongeleshwa.

Malipo ni 10000/- kwa siku na muda wa kazi ni saa mbili asb hadi sa 11 jioni masharti;

1. Awe anakaa moshi mjini hasa KCMC, Soweto, Longuo au Shanty.

2. Aichana mwenye kujitambua na awe na uwezo wa ku-mantain usafi wa kiwanda na operation za kiwanda.

Kama una ndugu yako basi ni-PM kabla ya kesho mchana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom