Kibanda cha Mpesa kwa bei chee

Kibanda cha Mpesa kwa bei chee

Joined
Aug 14, 2015
Posts
18
Reaction score
2
Pata kibanda cha Mpesa kwa bei raisi, pia line za Mpesa zipo na kama ujue kufanya biashara hii nitakufundisha vzuri. Kibanda ni TSh. 150,000 na line za Mpesa na airtel ntakupatia zote kwa Tsh.250,000. Karibu na wewe ufaidike na kujiajiri.
1476720638291.jpg
1476720647804.jpg
 
Vipi mbona unakimbia biashara mkuu...ww hutaki utajiri?
 
Nipo na kazi za project field mkuu. So nalazimika kusimamia iyo project kwa takribani miezi 6. Sitaki kuwa mchoyo na wenzangu wafaidi.
 
Nataka hiyo laini ya Mpesa peke yake bei gani uanauza? Na upo wapi kwa Dar?
 
Ok..kuna changamoto gani kwenye hiyo biashara...?
Iyo kazi uaminifu tu kwa mfanyakazi wako kutunza ela. BT kama unafanya mwenyewe akuna changamoto , kama una mtaji kaki 2. Jioni ukifunga lazma ionekane iyo laki 2 . so ukimwajili mfanyakazi akikisha ela uliyompa kila SKU ndyo iyo iyo. Adi mwsho wa mwezi utapolipwa commission
 
Njia gani zinatumika kukabiliana na chuma ulete
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom