Kibanda cha biashara kinauzwa

kings09

Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
47
Reaction score
3
Habari wana GF,

Kwa wale waliopo Arusha. Nina uza kibanda cha biashara kipo Arusha pia.

Specification

1. 2M x 2M x 2.5M, kwa maana ya upana, urefu, na kimo

2. Material: bati gumu gauge 18

3. Kina hamishika

4. Bei Tshs 550,000 hata maelewano yapo kwa anaye kihitaji

Anaye kihitaji anaweza kuni pm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…