Kibanda adharauliwa

Kibanda adharauliwa

Mpasua Jipu

Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
12
Reaction score
3
Ushauri wa Kibanda kuhusu Mulinda na Ratifa umedharauliwa na Husein Bashe. Kibanda alishauri Mulinda aondolewe kwenye uhariri kwani anatumiwa na dola kupotosha sakata lake, upo ushahidi kwamba amepewa mamilioni kwa kazi hiyo, na Ratifa adhibitiwe kwani anatumia gazeti kuficha kazi yake maalumu na uhusiano wake binafsi na Kibanda. Jukwaa la wahariri limewachunguza Mulinda na Ratifa na kubaini wameamua kuwachafua Ngurumo na Balile na limependekeza wachukuliwe hatua lakini Bashe amekataa. Kibanda alimweleza Ngurumo dhambi ya Mulinda na Ratifa lakini mpaka leo Bashe yupo kimya. Bagenda kasema wafukuzwe Bashe kagoma. Kuna nini hapo?
 
Jaribu kutufafanulia wana JF wenzio mada jinsi ilivyo haieleweki unataka kusema Bashe amemgeuka Kibanda anashangilia dhahama aliyoipata
 
Acha Unafki Na kutafuta Umaarufu wa kiswengesenge, Kibanda sio muoga wa kushindwa kufunguka mpaka kukutuma Fukafuka kama wewe, Hakuna haja ya kum Pre empty nani kafanya nini kwenye Sakata lake tutajua tu Tumuombee Kheri Mungu amponye watu wawekwe Peupeee!
 
Hivi nyie hamjui njaa za hao waandishi kwenda kufanya kazi kwa wasomali na wairan itawatokea puani?. Nilishasema na ninarudia tena kusema ipo nadharia ya kuwa hao hao waliomuajiri mhariri inawezekana ndo waliamua kumn'goa meno ili kuhalalisha njia zao za kuandika upuuzi baada ya kuona mhariri hanunuliki.Think deep!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom