Kibaka ajuta

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Kibaka akieleza mambo aliyoyakuta kwenye pochi ya mwalimu aliyoikwapua. <1>majina ya wapiga kelele darasani. <2>vipeperushi vya migomo. <3>marking scheme. <4>jumla ya madeni anayodaiwa. <5>andalio la somo. <6>majina ya watoto waliowahi namba .<7>sh.500 ya nauli. <8>majina ya waliokopo bagia na kashata.Kibaka aliapa hatarudia kumpora mwalimu!
 
]
Hakukuta kadi ya NMB???
 
Kweli nimechoka siku imeharibika waalimu tunateseka sana mno yaani acha tu
 

Tafadhari mrudishie madam mkoba wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…