Kibaha(viziwaziwa) mahakama yaamuru wananchi waondolewe

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Ni habari iliyotolewa leo kwa maamuzi ya mahakama kuu imetoa hukumu ya kurudisha eneo maarufu kama viziwaziwa, kibaha kwa mfipa kwa mmiliki wake wa hawari (mhindi), na kwamba wananchi waliokwisha kununua maeneo na kujenga waondoke ndani ya siku 14 tokea leo.

Kwa yeyote ama kama ulikuwa na ndugu pale taarifa na ifikishwe. Hii kazi kakabidhiwa RHINO AUCTION MART na tangazo limebandikwa kwenye maeneo hayo.

NB: Ni lile shamba pori lililoachwa na mhindi kwa miaka zaidi ya 30 pasi kuendelezwa na kugeuka pori nene hadi pale wananchi walipoamua kuligawa na kuanzisha makazi rasmi na ya kudumu
 
Mimi naona serikali ijaribu kuepuka migogoro na wananchi isiyo ya lazima. Kama wananchi wamekwisha anzisha makazi ya kudumu kwa miak a30, na bado Tanzania haijaisha, ninashauri serikali imtafutie eneo lingine mbadala watu waachwe tu waendelee na maisha yao magumu.
 
SASA KAMA MUHINDI ANA RIGHT OF OCCUPANCY YA MIAKA 99, WAANZE TU KUJIONDOA WENYEWE HATA KAMA ILIKUWA NI SHAMBA PORI, KWANI RAIS AMELISHATANGAZA KATIKA GN KWAMBA ANATAKA KULICHUKUA ENDAPO ZILE SIKU ALIZOPEWA KULIENDELEZA ZITAFIKIA KIKOMO?
 
Mtazoea
Mimi naona serikali ijaribu kuepuka migogoro na wananchi isiyo ya lazima. Kama wananchi wamekwisha anzisha makazi ya kudumu kwa miak a30, na bado Tanzania haijaisha, ninashauri serikali imtafutie eneo lingine mbadala watu waachwe tu waendelee na maisha yao magumu.
Kuvamia, kwani viwanja vya kununua havipo?
 
Mtazoea
Mimi naona serikali ijaribu kuepuka migogoro na wananchi isiyo ya lazima. Kama wananchi wamekwisha anzisha makazi ya kudumu kwa miak a30, na bado Tanzania haijaisha, ninashauri serikali imtafutie eneo lingine mbadala watu waachwe tu waendelee na maisha yao magumu.
Kuvamia, kwani viwanja vya kununua havipo?
 
Ni habari iliyotolewa leo kwa maamuzi ya mahakama kuu imetoa hukumu ya kurudisha eneo maarufu kama viziwaziwa, kibaha kwa mfipa kwa mmiliki wake wa hawari (mhindi), na kwamba wananchi waliokwisha kununua maeneo na kujenga waondoke ndani ya siku 14 tokea leo.

Kwa yeyote ama kama ulikuwa na ndugu pale taarifa na ifikishwe. Hii kazi kakabidhiwa RHINO AUCTION MART na tangazo limebandikwa kwenye maeneo hayo.

NB: Ni lile shamba pori lililoachwa na mhindi kwa miaka zaidi ya 30 pasi kuendelezwa na kugeuka pori nene hadi pale wananchi walipoamua kuligawa na kuanzisha makazi rasmi na ya kudumu
 
Jamani pale lilikua pori na raia hawakujua japi ignorance of law is not diffencive kwa hili waachiwe
 
huyo mmiliki wa hilo shamba yaelekea ana nasaba fulani na chama tawala la sivyo serikali ingesham-Sumaye.
 
Inasemekana kuna watu wa CCM katika eneo lile ndo wanapalia mkaa kwani eneo lilirudishwa kwa wananchi katika kipindi cha uongozi wa CDM katika kijiji kile. Kwa hiyo kimsingi na kwa mjibu wa vyanzo vya habari ni kwamba huu mgogoro una sura ya kisiasa pande mbili, CCM dhidi ya CDM
 
Walishauwaw
Jamani pale lilikua pori na raia hawakujua japi ignorance of law is not diffencive kwa hili waachiwe
Lilishageuzwa mabwe pande ( sehemu ya kuulia watu) kipindi likiwa pori
 
Unavamiaje eneo na kujenga pasipo kufuata taratibu?? Huo ni upumbavu wa kiwango cha lami,hata kama hilo eneo lisingekuwa la muhindi,ila waelewe hakuna cha bure ktk dunia ya sasa
 
Back
Top Bottom