Profesa Maji Marefu tulimpa kazi ya kuwatengua ankle Niyonzima na Msuva ili wasicheze mechi ya 18 May, sijui ilimshinda.Ipo siku tutasikia Profesa Maji Marefu ni kocha wa Simba Koko SC ya Msimbazi.
Kwa hiyo mnacheza Kinesi safari hii?
kapewa mkataba au ndio deiwaka?
Simba ni timu kubwa wamfanikishie mourinho Aje siye wanachama tuko yatari kuchangishana kumlipa mshahara nk nk
kapewa mkataba au ndio deiwaka?
Mbona sijaona kitu?Tembelea pia simba.co.tz taarifa ipo pale wameweka mkataba hadharani.
Mbona sijaona kitu?
Naona unatucheka kimya kimya mkuu, sisi bado tuko kwenye analogy, hii digital naona chama langu limeipitia pembeni, itabidi tutengeneze hata blog.Angalia vizuri Mkuu. Ukiona maneno 'Account Suspended' right click halafu kong'oli 'open' utaona mkataba wake. Ukiona hufanikiwi wasiliana na Administrator. Pole sana Mkuu. Hapa ni kekundu, ... ndiyo waliwao.
Naona unatucheka kimya kimya mkuu, sisi bado tuko kwenye analogy, hii digital naona chama langu limeipitia pembeni, itabidi tutengeneze hata blog.
Mkuu wewe ni mwanamichezo wa ukweli, uko juu. Penye ukweli huwa hupepesi macho wala masikio. Rage anashindwa hata ku-Operate tovuti! Hebu linganisha na hapa: The Official Website of Young Africans Sports Club
Ipo siku tutasikia Profesa Maji Marefu ni kocha wa Simba Koko SC ya Msimbazi.
Kwa hiyo mnacheza Kinesi safari hii?