Kibadeni kocha mpya Simba

Kibadeni kocha mpya Simba

Mkuu, uko sahihi. Bahati mbaya natumia Mchina Mobile Phone. Weka tovuti ya Simba na siyo ya Supersport. Anyway, faraja pekee kwa Simba ni 5-0 baada ya kufulia hatimaye mnarudia makocha mliowatimua ninyi wenyewe.

tovuti ya simba kuna mahacker wamefanya yao
 
Sawa mkuu, mwaka huu tuko dhoofu khali; kama kifaranga kanyeshewa mvua ya mawe. Ngoja jembe letu la mwaka 1978 liloongoza mauaji ya 6-0 tulilete labda litatufuta machozi.
 
Kwa timu za nyumbani sina uzalendo,mpira unachezwa nje ya uwanja
 
Sawa mkuu, mwaka huu tuko dhoofu khali; kama kifaranga kanyeshewa mvua ya mawe. Ngoja jembe letu la mwaka 1978 liloongoza mauaji ya 6-0 tulilete labda litatufuta machozi.

Tatizo la Simba mnapenda sana kuiga, mkiona Yanga wanakocha mzungu nanyi mnafuata upepo. Kibadeni kaifikisha Simba fainali ya CAF, ilikuwaje mkamtema? Kama Fergie kazeekea ManU na Wenger Ars, kwa nini Kibadeni alitimuliwa?
 
tovuti ya simba kuna mahacker wamefanya yao

Ina deni, Rage hajalipa ndiyo maana ukitaka kuingia unaambiwa 'Account Suspended'. Akilipa mtaendelea ku-enjoy. Hivi ni Shilingi ngapi hazijalipwa? Rage aende kwa Manji akaombe kiungwana atalipiwa deni ili mrejee hewani.
 
Tatizo la Simba mnapenda sana kuiga, mkiona Yanga wanakocha mzungu nanyi mnafuata upepo. Kibadeni kaifikisha Simba fainali ya CAF, ilikuwaje mkamtema? Kama Fergie kazeekea ManU na Wenger Ars, kwa nini Kibadeni alitimuliwa?

Mkuu hizi timu kubadilishana makocha hatuwezi kuchekana hakuna yenye nafuu nyie wenyewe mmebadilisha mara ngapi toka msimu uliopita? na unakumbuka mwaka ule nadhani ilikuwa 2004 au 2005, mlivyomfukuza Jack Chamangwana, mkamleta Bonghanya ambaye sijui kama alimaliza hata miezi miwili baadaye mkamleta Marehemu Mziray? hizi timu tofauti yake ni rangi tu lakini ubabaishaji na mizengwe zote zinafanana, hata upuuzi wa viongozi, wanachama na mashabiki wao ni copy right kabisa.
 
Ha,ha,ha eti kibaden!watani mnachekesha Remmy njoo uone uendawazimu mwingine wa simba ya Rage.

Akili finyu zilizotumika kumuuza okwi na kununua kipa wa kuja kukaa bench ndizo zinaendelea kutumia hadi leo kwa timu kama simba ambayo inaenda kucheza mpaka mechi za nje ya nchi kumkabizi Kibadeni.sikatai kuwa Kibadeni hana uwezo,lakin simba si level yake.na haya yote ni kwaajili ya fitina za Julio.hamna chochote simba ni upuuzi juu ya upuuzi
 
Last edited by a moderator:

mpaka apewe mzungu ndo uone levo za simba tatizo mmekariri mzungu anajua kila ki2
 
Last edited by a moderator:
Mkuu brave kama umepitia comment yangu vizuri utagundua hakuna mahala nilipozungumzia u-zungu ama u-bongo.hoja yangu ni kwamba level ki-proffesional ya kibadani haiko compatible na level ya simba.simba ni timu yenye level si sawa na kagera sugar,simba cv yake ni kubwa ingawa haijaifikia ya yanga.hata hivyo mambo ya simba hayanihusu kwakua mi mtoto wa jangwani sina shida
mpaka apewe mzungu ndo uone levo za simba tatizo mmekariri mzungu anajua kila ki2
 
Last edited by a moderator:
Dah,kwanini hawakumpa julio na zile mbwembwe zake angeweza kuwafuta machozi watani.

julio sio ocha hyo ni mwimba taarabu tu hajui kitu anaongea vitu visivo vya kitaalam hata akiulizwa vitu vinavoitaji utaalam
 
Ataishia kufukuzwa kama wenzie,na hawezi kufanya kazi na mpiga zumari-JULIO.
 
Ha,ha,ha eti kibaden!watani mnachekesha Remmy njoo uone uendawazimu mwingine wa simba ya Rage.

Akili finyu zilizotumika kumuuza okwi na kununua kipa wa kuja kukaa bench ndizo zinaendelea kutumia hadi leo kwa timu kama simba ambayo inaenda kucheza mpaka mechi za nje ya nchi kumkabizi Kibadeni.sikatai kuwa Kibadeni hana uwezo,lakin simba si level yake.na haya yote ni kwaajili ya fitina za Julio.hamna chochote simba ni upuuzi juu ya upuuzi

Hao weupe wameafanya nini kusongesha soka letu? Sijaona lolote toka enzi za mjerumani.

Wapo weusi wanakochi timu za mbelembele.
 
Last edited by a moderator:
Ila nakubali Rage aende zake, simba inadidimia
 
Kaegeshwa tu! Kwa wale wanaofahamu 'Statics', jamaa yuko 'simply supported' hivyo yuko 'Statically Determinate', anaweza kuhimili 'vertical loads' pekee yaani wakati wanashinda tu. Ikija 'horizontal force' yaani kufungwa ni lazima aanguke. Kila la heri Kibadeni, usitoe nguo zote kwenye begi ili muda ukifika usepe fasta.
unajua sio mara ya kwanza kibadeni na mwenzake julio kufanywa spea tairi,,
 
Ila nakubali Rage aende zake, simba inadidimia
hahaahahahaha..kweli msomali mmemchoka ..ila ttz msiomtaka hamna mbinu za kumtoa..?kama ilishindika kipindi kile basi tena....tuvumilie tu
 
kwan maneno meng yupo wapi alie kuwa anasuka kikosi cha watoto?
 
Back
Top Bottom