- Thread starter
- #21
ubishi uko wapi sasa? Niliwaambia mtu kapewa hela achomeshe ili asajiliwe ukajifanya kubishaKAMA UNAONA MCHEZAJI ANACHEZA CHINI YA KIWANGO ANZISHA TIMU YAKO TAFUTA WACHEZAJI WAKO, SISI WANA YANGA TUNAMKUBALI KIBABAGE

na kweli akaja simba, tulimuacha.Mumuache tu aje simba
Mimi mwenyewe naona alicheza chini ya kiwango
Au mnasemaje ndugu zangu
nilikuwa mbele ya muda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nilikuwa mbele ya muda.Kwamba kibabage jana alikua kipa akaacha mipira itikise nyavu?
Akawa striker akashindwa kushambulia
Alikua forward akashindwa kufunga!
Akawa beki akashindwa kuzuia mashambulizi
Mkifungwa kubalini kufungika.