AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Nikichangia hiyo aya ya pili kwanza kabla Mods hawajafuta uzi wako ni kwamba JF imekuwa mbovu sana kila uzi ukifungua umefutwa.
Hii JF itakuja kuwa na maisha mafupi kama hamtaki watu wawe huru kwenye hoja zao.
Fyekelea mbali Mods wapuuzi.
Kwanza nilikuwa nimekumiss kabla sijachangia mada.Changia mada bas
Kwanza nilikuwa nimekumiss kabla sijachangia mada.
[emoji848] [emoji848] [emoji848] [emoji848] Sawa naanza kuchagia.Ahahaha asante nimekumiss pia, haya changia mada basi
nasubiri yale majibu yako[emoji848] [emoji848] [emoji848] [emoji848] Sawa naanza kuchagia.
nasubiri yale majibu yako
loh ya kweli haya??? Inshallah iwe ndoa ya heri kwako bora uache kujibu vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimeoa huoni hata humu siku hizi sikai sana.
loh ya kweli haya??? Inshallah iwe ndoa ya heri kwako bora uache kujibu vile
Ooh nimejipanga hii wiki kuanza kutafuta mtafaruku na watu maana nina siku nyingi sana sijagombana.
Dah kugombana ni starehe yangu hata ukija kubahatika kuniona utagundua sura yangu imepitia majaribu mengi ya ngumi.Ila wewe hahahhahahaa ujue hua unanifrahisha sana? Usifikie kukwaza watu bana we jibu lakini usimkwaze mtu
Kuna mtoto wangu wa kiume anamiaka 5, huwa anaoshwa sasa mwezi jana alikuwa na birthdate yake, nashangaa usiku huo kaja kaniambia dady sitaki kuoshwa na mtu mimi mkubwa sasa, nikamkubalia na mm nikamwambia nataka nione unavyojiogesha mwenyewe. Alipoenda kuoga nikamwangalia, nikamuuliza ulijulia wapi kuoga mwenyewe akadai eti huwa anaona kwenye tv nikashangaa sana.Watoto ni waigizaji wa kila kitu wanachoona kwa wakubwa. Ukiwa na mtoto wa kiume mnunulie toy car kama gari unayoendesha. Utamuona ukiosha gari yako na yeye anaosha ya kwake.
Mama ukiwa na mtoto mchanga utamuona binti yako wa miaka 3-5 anamfanyia dolly wake yake yote unayonfanyia mtoto wako.
jina lake anaitwaIla wewe hahahhahahaa ujue hua unanifrahisha sana? Usifikie kukwaza watu bana we jibu lakini usimkwaze mtu
hahahahahahahahaha usinichekeshe mimiDah kugombana ni starehe yangu hata ukija kubahatika kuniona utagundua sura yangu imepitia majaribu mengi ya ngumi.
jina lake anaitwa
Mbao za mawe
hawezi acha asili yake
Buhahahahaa