Kiba na Diamond nani yupo radhi kuona beef lao likiisha?

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Hivi ukiangalia hili beef nani anafaidika sana kati ya awa wawili....na je akitokea mtu wa kuwapatanisha nani yupo radhi kuona hili beef linaisha kabisa iwepo amani kati yako.....maoni yenu tafadhari
 
Kinadharia hakuna "bifu" ila kuna mtu/watu wanapuliza, na anayepuliziwa anapenda kwa kuwa linamsaidia.
images
images
 
Kinadharia hakuna "bifu" ila kuna mtu/watu wanapuliza, na anayepuliziwa anapenda kwa kuwa linamsaidia.
images
images
Sasa bifu likisha huyu jamaa huduma hii ataipata wapi? na hawa wanafanya hivi kwa madonge yao wakijiaminisha kuwa wana mrusha mtu roho.
 
Sasa bifu likisha huyu jamaa huduma hii ataipata wapi? na hawa wanafanya hivi kwa madonge yao wakijiaminisha kuwa wana mrusha mtu roho.
Huyu hawezi kukubari hiki kitu kife,maana ndio kitakuwa kifo chake na hata watu wake wa karibu wamemwambia hivo na ndio maana akiwa anahojiwa popote lazima aseme cha k
images
uchokonoa
upload_2016-2-8_4-43-12.jpeg
hiko kinachoitwa "bifu"
 
Back
Top Bottom