Mnatetemeka eeeeh kubadilika kwa mbinu... Maana kipindi anatoa moja kwa mwaka hali ilikuwa mbaya kusikia bampa kwa bampa michupi inabana tulieniiiii mashabiki tumetaka na katusikia sasa Kazi mnayo...Leo nmesikiliza mahojiano ya kiba ndani ya magic FM, jamaa anasema kabadili management yake na kuanzia saiv atakua anatoa nyimbo bampa kwa bampa hakuna kuacha gape
Uyu jamaa game inataka kumshinda, siku anarudi kwenye game alisema kitu ichoicho (bampa kwa bampa) juzi2 kasema sporah show kwamba yy hawezi kutoa nyimbo mara kwa mara maana ni kutojiamini na uoga wa game, na awez kutoa nyimbo kwa msukumo wa watu hivo mashabiki wake wapokee mzik wake kama anavoutoa,leo anarudia upuuz uleule alioukataa. Mara nawashitukiza kama magufuli
Tuseme ukweli uyu jamaa he's overated then inamgharimu, cyo kwa maruweruwe aya
Diamond ana misifa pia hakuna mkamilifu kila mtu na maisha Yake..Uko sawa sana, kujilinganisha kunaweza kukamponza na lingine ambalo wengi wanabisha ni kuwa Kiba ana dharau sana yan
Akisema hatoi ngoma mfululizo mnaanzisha thread ya kumponda akisema atatoa ngoma bampa to bampa mnaanzisha uzi mwingine kuhoji mweeeeee sijui aseme nini naamini akisema hatoi ngoma tena utaanzishwa uzi kua ni muoga kweli huwezi kumfurahisha kila mtu.
Hajaanza leo kusema bampa to bampa,yakowap? tunam enjoy2Mnatetemeka eeeeh kubadilika kwa mbinu... Maana kipindi anatoa moja kwa mwaka hali ilikuwa mbaya kusikia bampa kwa bampa michupi inabana tulieniiiii mashabiki tumetaka na katusikia sasa Kazi mnayo...
Leo nmesikiliza mahojiano ya kiba ndani ya magic FM, jamaa anasema kabadili management yake na kuanzia saiv atakua anatoa nyimbo bampa kwa bampa hakuna kuacha gape
Uyu jamaa game inataka kumshinda, siku anarudi kwenye game alisema kitu ichoicho (bampa kwa bampa) juzi2 kasema sporah show kwamba yy hawezi kutoa nyimbo mara kwa mara maana ni kutojiamini na uoga wa game, na awez kutoa nyimbo kwa msukumo wa watu hivo mashabiki wake wapokee mzik wake kama anavoutoa,leo anarudia upuuz uleule alioukataa. Mara nawashitukiza kama magufuli
Tuseme ukweli uyu jamaa he's overated then inamgharimu, cyo kwa maruweruwe aya
Binadamu huwa hakosi la kusema...Leo nmesikiliza mahojiano ya kiba ndani ya magic FM, jamaa anasema kabadili management yake na kuanzia saiv atakua anatoa nyimbo bampa kwa bampa hakuna kuacha gape
Uyu jamaa game inataka kumshinda, siku anarudi kwenye game alisema kitu ichoicho (bampa kwa bampa) juzi2 kasema sporah show kwamba yy hawezi kutoa nyimbo mara kwa mara maana ni kutojiamini na uoga wa game, na awez kutoa nyimbo kwa msukumo wa watu hivo mashabiki wake wapokee mzik wake kama anavoutoa,leo anarudia upuuz uleule alioukataa. Mara nawashitukiza kama magufuli
Tuseme ukweli uyu jamaa he's overated then inamgharimu, cyo kwa maruweruwe aya
Zitaje tano za KWAKE MWENYEWE tangu karudi.Mi sishangai kwa huu ukigeugeu, kuna kipindi alisema haimbi tena kwa playback ni live kwa kwenda mbele, cha ajabu show zake nyingi bado anafanya playback
Wanampenda,wanamugopa na wanamskiza kwa siri majumbani kwao wanafuatilia kila kitu kuhusu yy hahahahaaaaa jamaa ananfurahisha anavyowaumiza vichwaHao ndo wa Tz ......uchonganishi tu akuna kingine. Eti kisa Fulani yupo ivyo na yy anatakiwa afanye vile.
Muziki kauanza mwenyewe, kwa juhudi zake. Kama akuvutii ww yann kumjadili!?!? Muacheni afanye awezavyo.. Nyie shughulikeni na uyo kipenzi chenu.
Aumpendi? Unamfatilia yann?? Tutabaki kua kichwa cha mwenda wazimu mpaka mwisho kwasababu ya majungu yet ya kiswahili.
Maoni ya kila mtu yaheshimiwe..tumekuskiaKiba ameshachanganyikiwa hata JD alieamka juzi ameshampita.
Kamuulize bob junior kwamba wakati diamond kaenda kuomba kuimba pale sharobaro records.. Alimshirikisha nani kujadili kama diamond arekod au asirekod ?...jibu alimpigia simu kiba kumwambia kuna Dogo hapa vp tumrekodie?..kiba akamwambia kama yuko fresh arekod ila zoez nnalokupa ww uliyepost ni kutafuta ujue wakati kiba anapigiwa simu alikuwa wapi na anafanya nn ?..ndo utajua sasa kwamba kiba ni nani.Tatizo la Huyu ndugu yenu anashindana Na mtu ambaye hashindani naye! Wakati yeye anawaza nitoe nyimbo halafu niongee Na mashabiki wangu ili nimpite jamaa, mwenzake anawaza wiki hii inabidi nirecord wimbo halafu next week niende Hapo jo'berg nifanye kichupa, nikitoka hapo nitaenda Florida Nina show Kama 3 sijui itakuaje! Nikimaliza show nitarudi dar kumsaidia Hamornize!
Kiba! Badilika bro! Yaani kihalali haikufaa wewe kushindana Na Mondi! Kila nikikumbuka Enzi Za Cinderella, Njiwa, Nakshnakshi, shababi Naona Kabisa jinsi unavyopotea! U have to act as a gentleman!
Fanya Mziki wako wewe Kama wewe! Stick with your plans, acha kushindana Mkuu! Pia punguza kiburi Na kujisikia, mambo hayo waachie Waramba lips kina Blue!
Umemuona AY? Kumbuka yeye Ndio alifungulia Diamond milango ya Nje! Ila Leo Jamaa wala Hana kinyongo nae! Mpaka wametengeneza Zigo remix ona ilivyomrudisha hewani!
Mziki sio vita! Mziki Ni burudani Na kazi! Usitake nikuimbie Mackmuga bhana!
NB; Mimi sina team, wewe Na mwenzio nyie wote Ni wangu!
ManaraHaji
Ili mrad umtetee tu mtuwenu hahahahaaaa...yule anapenda sifa huyu ana dharau maisha yanaenda nn Shida????....Bora uwe unapenda misifa uku ukiwa nayo,kuliko kupenda misifa akat hauna
Shida Ni kwamba unaongea kishabiki, Na abadani hutopata njia ya kumsaidia huyo Jamaa mpaka utoe huo ushabiki! Ktk post yangu nimesema Kabisa Kiba kwa Hadhi aliyonayo yeye sio wa kushindina Na Mondi, Kiba Ni mgongwe, Ni sawa Na Kikumbi Mwanza Mpango Maestro King Kingkii aanze kushindana Na Kalala junior, it's unfair!! Ni Kweli Kiba kimziki Ni Mkubwa kuliko Jamaa! Ila Jamaa katumia fursa vizuri Na Anajua kuishi Na watu! Sasa wewe endelea kubisha hivyo hivyo me naendelea kumuangalia Diamond Trace urban saivi.Kamuulize bob junior kwamba wakati diamond kaenda kuomba kuimba pale sharobaro records.. Alimshirikisha nani kujadili kama diamond arekod au asirekod ?...jibu alimpigia simu kiba kumwambia kuna Dogo hapa vp tumrekodie?..kiba akamwambia kama yuko fresh arekod ila zoez nnalokupa ww uliyepost ni kutafuta ujue wakati kiba anapigiwa simu alikuwa wapi na anafanya nn ?..ndo utajua sasa kwamba kiba ni nani.
Umenichekeshaaaa !!!sikilizaa Bahati ya MTU haizibwiii!!hayaa asingesema mrekodieee kama Mungu alimpangiaa ivi alivyo Leo iingekuwa tuuu....Wakoo.wapi.wengi wengi waliosaidia Na.hayo akina Bob junior..he wanasurvive mpaka.leoo???he na huyo Bob tupoo wapi kama yeye mrekodia watuu ili wafanikiweee.au watoboe kimaishaa mbona kapitwaa Na MTU aliyemrekodia wimboo...au ndoo unataka kusema.Papa Msofe asingsaidia.Pesa Bob asingepokea??kwa taarifa yyako hakurekodi.Bureee alilipaaa pia Mungu alishamuwekeaa Tick..ninyi.mtakuwa wasindikizaji.Full stop!!!Kamuulize bob junior kwamba wakati diamond kaenda kuomba kuimba pale sharobaro records.. Alimshirikisha nani kujadili kama diamond arekod au asirekod ?...jibu alimpigia simu kiba kumwambia kuna Dogo hapa vp tumrekodie?..kiba akamwambia kama yuko fresh arekod ila zoez nnalokupa ww uliyepost ni kutafuta ujue wakati kiba anapigiwa simu alikuwa wapi na anafanya nn ?..ndo utajua sasa kwamba kiba ni nani.
Asante kwa kumjibu vizuri Mkuu!Umenichekeshaaaa !!!sikilizaa Bahati ya MTU haizibwiii!!hayaa asingesema mrekodieee kama Mungu alimpangiaa ivi alivyo Leo iingekuwa tuuu....Wakoo.wapi.wengi wengi waliosaidia Na.hayo akina Bob junior..he wanasurvive mpaka.leoo???he na huyo Bob tupoo wapi kama yeye mrekodia watuu ili wafanikiweee.au watoboe kimaishaa mbona kapitwaa Na MTU aliyemrekodia wimboo...au ndoo unataka kusema.Papa Msofe asingsaidia.Pesa Bob asingepokea??kwa taarifa yyako hakurekodi.Bureee alilipaaa pia Mungu alishamuwekeaa Tick..ninyi.mtakuwa wasindikizaji.Full stop!!!
Hihihiii,Kiba buanaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Vp yule kibabude naye kamtumbua jibu ???