Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 878 Reaction score 945 Aug 1, 2016 #1 WanaJF Hiki kiazi ni cha ajabu sana, mara ya kwanza kuona picha yake, nilipgwa na butwaa sana! Hii staili ni cyo nomo. Kitazame vizuri halafu solve maswali utakayojiuliza kimya kimya. Hapa ulete majibu tu. Attachments 13686642_1766376360251998_3721320477165377857_n.jpg 46.7 KB · Views: 74
WanaJF Hiki kiazi ni cha ajabu sana, mara ya kwanza kuona picha yake, nilipgwa na butwaa sana! Hii staili ni cyo nomo. Kitazame vizuri halafu solve maswali utakayojiuliza kimya kimya. Hapa ulete majibu tu.
Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,976 Reaction score 2,176 Aug 1, 2016 #2 Mhhh mimi napita tu na bahati nzuri sijavaa miwani hivyo sikioni vizuri hicho kiazi la sivyo ningeweza kuchangia mada!
Mhhh mimi napita tu na bahati nzuri sijavaa miwani hivyo sikioni vizuri hicho kiazi la sivyo ningeweza kuchangia mada!
Puppy JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 2,995 Reaction score 2,540 Aug 1, 2016 #3 Kivalishwe nguo
chipaka.com JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,883 Reaction score 1,195 Aug 1, 2016 #4 Computer siku hizi inaada dunia,, say Amen
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Aug 1, 2016 #6 Mkuu hivo vimezaliwa mapacha mwenzie huyu
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 22,746 Reaction score 34,598 Aug 1, 2016 #7 Mama Mdogo said: Mhhh mimi napita tu na bahati nzuri sijavaa miwani hivyo sikioni vizuri hicho kiazi la sivyo ningeweza kuchangia mada! Click to expand... Mother mbona umeshachangia mada tayari?
Mama Mdogo said: Mhhh mimi napita tu na bahati nzuri sijavaa miwani hivyo sikioni vizuri hicho kiazi la sivyo ningeweza kuchangia mada! Click to expand... Mother mbona umeshachangia mada tayari?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,398 Aug 1, 2016 #8 Viazi vya mwendokasi