Kiatu simple, unapendeza kwa 25000/= tu

Kiatu simple, unapendeza kwa 25000/= tu

Nea

Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
26
Reaction score
2
Kwa mawasiliano.
0787 583880 call/whatsapp.

Available red 37

Black 37, 38, 39, na 40

Tunatuma popote ulipo.

Karibuni.
ImageUploadedByJamiiForums1423672935.557908.jpg
 
Mimi nina shida na huo mguu wenye kiatu chekundu kwa matumizi yangu ya binafsi.....
 
Kaka funguka kidogo..matumizi gani hayo..
Kumbuka sio dili kwa rangi hiyo.
Hahaha au unatoka kwa wale wa kanda ya nyonyo?????

Kaka nitake radhi kwa kuniambia natoka kanda ya nyonyo maana watu wa huko huwa wanatumia miguu kufikiri badala ya ubongo..
 
Kaka nitake radhi kwa kuniambia natoka kanda ya nyonyo maana watu wa huko huwa wanatumia miguu kufikiri badala ya ubongo..

Ohooo, ugomvi huo...
Mie hata kua refa sitaki..maana km utatumia miguu kufikiri sina uhakika wa usalama wangu km muamuzi....
Kaka KikulachoChako niwie radhi mdogo wako.
 
Last edited by a moderator:
Miguu miguu,...Natamani badala ya tangazo la viatu lingekuwa la c.h.u.p.i!!!
 
Back
Top Bottom