Kiapo kina maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiapo kina maana gani?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mukama talemwa, Apr 29, 2012.

 1. m

  mukama talemwa Senior Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tumeshuhudia mara zote Rais kabla ya kuanza kazi lazima aapishwe,mawaziri,wakuu wa mikoa makatibu wakuu na viongozi wengine wakiwemo wanasheria.Sasa mimi ninashangaa kwanini wakivunja kiapo wasishitakiwe kwa kukiuka kiapo,au akina maana, kwakuwa hata Baraza la mawaziri linalo tegemewa kuvunjwa kati ya kitu wakicho vunja ni kiapo. walicho apa wakati wanapata uwazili.
   
Loading...