johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,105
- 164,495
Tumeshuhudia hapa nyumbani marais wanapoapishwa huwepo viongozi wa dini.Halikadhalika tumeona hata Marekani lakini kule Rais mteule ndiye huwaalika,hivyo huwaalika awapendao.Sijaelewa hapa nyumbani uwepo wa Mufti na Maaskofu Wakuu ni lazima kiplotokali au ni jambo la hiyari tu?Naomba kuelimishwa.