Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
Freemason anaitwa mpinga Kristo kutokana na laana ya msalabaIvi mason ndo mpinga kristo mwenye alama 666
Hawajui tu na ni kweli kabisa freemason ya magazeti ya udaku ni tofauti kabisa na uhalisia wa kitu chenyewemshana jr nashangaa kwanini watu mnakomalia kuponda Freemasonry wakati kwa kadiri ninavyo fahamu hawana tofauti kubwa sana na organisations kama Rotary Club, Lions Club etc sema tu freemasonry ina mizizi ya siku nyingi na they are just much more secretive!!! Ila sidhani Freemasonry iko kama tunavyo danganyana huku mtaani..
Mkuu mshana jr nadhani nahitaji ufafanuzi zaidi juu ya kulaaniwa maselemara wote??? Hii umeitoa wapi kiongozi??? Alafu kumbuka kuwa mpaka sasa bado kuna argument kubwa kuhusu origin ya Freemasonry na wengine wanaargue kuwa inawezekana imeexist even miaka mingi sana hata kabla ya Yesu..Freemason anaitwa mpinga Kristo kutokana na laana ya msalaba
Kumbuka maseremala wote(mason)walilaaniwa kwa kosa la kutengeneza misalaba iliyotumika Kuangikwa Yesu Kristo na wafuasi wake wawili waaminifu pale Golgota
Kwahiyo kujikinga na laana hiyo ndio walikuja na ibada ya kuitengua na ndio asili ya neno freemason au wajenzi huru
Habari za freemason si ngeni masikioni mwetu na tumeziandika kuzisoma na kuzisikia kwa mapana yake....lakini kiuhalisia ni kidogo sana tunachokijua kuhusu hii imani kwakuwa inazungukwa na usiri mkubwa
Freemason kama zilivyo imani nyingine ina sect nyingi ndani yake lakini bado misingi ikiwa ni ile ile
Freemason inajikita kwenye luciferism (katikati ya Mungu na shetani) wengi naamini mnaikumbuka hii mada..kwahiyo kimsingi mmason anabalance huku na huku ili aweze kuwapata wote na kwa umoja au utengano wao kwa ushirika wao au kwa hitilafu zao mason husimama kati yaoView attachment 319980kupoteza yote na kupata mengine mapya katika upya wa freemason ndio nguzo na daraja kuu la mason
Kama ilivyo kwa mkristo kuacha yote ya kishetani na kumfuata Kristo ndivyo hivyo ilivyo kwa mason kuacha yote ya Kristo na ya shetani na kufuata njia mpya ya Masons
Kama kweli unataka kuingia kwenye umason fikiria tena kiapo hiki kwa undani wake na siri kuu iliyopo juu yake View attachment 319982
Hapana Soma habari zake mpaka mwisho! Wajenzi walikuja kulaaniwa baada ya kutengeneza misalaba wakati huo Yesu kushakuwa mkubwa tayariKwa hiyo hata yoseph babaye YESU hiyo laana ilimpitia
mason=mwashiFreemason anaitwa mpinga Kristo kutokana na laana ya msalaba
Kumbuka maseremala wote(mason)walilaaniwa kwa kosa la kutengeneza misalaba iliyotumika Kuangikwa Yesu Kristo na wafuasi wake wawili waaminifu pale Golgota
Kwahiyo kujikinga na laana hiyo ndio walikuja na ibada ya kuitengua na ndio asili ya neno freemason au wajenzi huru
Wanajificha ficha basi...Wapo lakini wa daraja za chini
Kinachotia wasiwasi ni hizi ibada zao kama wengi wasemavyo kuwa zinaambatana na kafara za umwagaji damu wa binadamu!..hili kama ni kweli basi hata mazuri yanayoonekana kufanywa nao hayafai sana kusifiwa...Hapana bado hawajui nini maana yake na kama wapo basi ni wastaarabu kupita maelezo