haha ati damu itakulilia, upumbavu gani huo, damu ikalia toka lini tamu ikatoa chozi.... kiapo cha damu ni ujinga tu uliopo kwenye movie za kinigeria hakuna zaidi ya hapo... sanasana walibadilishana virusi tu
watanzania sijui lini watatoka kwenye huu ushirikina wa kijinga... mtu akadanganywa na shori wake ati nina mimba yako tumboni miezi kumi na mbili sasa nimeishikilia kwa madawa haitoki hadi unipe jibu kama tunafunga ndoa au la ati akafall for it... hahaha!